Get live statistics and analysis of millardayo's profile on X / Twitter

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings millard@millardayo.com
The Influencer
Meet Millard Ayo, the award-winning TV and Radio personality from Tanzania, who's on a mission to amplify the voices of East Africa and beyond! With a tweet count that rivals most novels, Millard keeps his audience engaged on everything from politics to pop culture with insightful commentary and a sprinkle of humor.
Millard, your tweets are like an all-you-can-eat buffet: a little too much going on at once, but somehow, I'm still here waiting for my dessert—in this case, a witty reply to the thousands of likes your tweets receive!
Biggest win: Millard's coverage of pivotal events has not only grabbed headlines but has also made him a sought-after voice in East African media circles, leading to invitations from major media outlets across the region.
To inform, entertain, and engage the audience about key issues in East Africa, while also promoting cultural exchange and understanding through media.
Millard believes in the power of storytelling and information to drive change and connect people. He values authenticity and strives to be a trusted source of knowledge in the digital space.
Millard's strength lies in his vast knowledge of current events and his ability to communicate complex ideas in an engaging manner that resonates with a diverse audience.
With great tweeting power comes great responsibility; sometimes Millard can be so immersed in news that he forgets to interact with his audience, turning his followers into mere spectators of his digital monologue.
To grow his audience on X, Millard should host Q&A sessions or live tweets during significant events, inviting followers to engage directly and transforming them from passive viewers to active participants in the conversation.
Fun fact: Millard has tweeted more than some people have spoken words in a lifetime, racking up an impressive 148,419 tweets!
Top tweets of millardayo
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika bangi katika Wilaya ya Musanze, nchini Rwanda umefikia asilimia 70% hadi sasa huku mradi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi septemba mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa KKOG Rwanda, Rene Joseph ameliambia gazeti la New Times la Rwanda na kuongeza kuwa ujenzi huo umechelewa kutokana na changamoto ya miundombinu ya barabara. Machi 2024, Serikali ya Rwanda ilitoa leseni ya miaka 5 ya kulima bangi kwa madhumuni ya dawa, uchimbaji na usafirishaji wa bidhaa mbalimbali za dawa kwa kampuni ya King Kong Organics (KKOG-Rwanda) inayoshirikiana na Shirika la Marekani la KKOG GLOBAL ambalo dhamira yake ni kuwa kinara wa soko katika kilimo cha bangi ya matibabu katika Bara la Afrika. Bodi ya maendeleo nchini humo (RDB) imetenga eneo la hekta 35 katika Wilaya ya Musanze kwa Wawekezaji watano ambao wameonesha nia ya kuzalisha bangi ambapo pia Serikali ya Nchi hiyo pia imejitolea kutoa miundombinu kama vile barabara, umeme, uzio wa maeneo ya kilimo, kamera za uchunguzi ili kuzuia bangi kuingia mtaani kwa Wananchi. Katika mwaka wa fedha wa 2023/2024, Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB) ilitenga fransi za Rwanda (Rwf) milioni 700 (Tsh. bilioni 1,428,000,000) kwa mradi wa kilimo cha bangi ambapo kwa mwaka 2024/2025, bajeti iliongezwa hadi kufikia fransi za Rwanda (Rwf) bilioni 2 (Tsh. bilioni 4,080,000,000) ambapo hekta 1 ya bangi inatarajiwa kuzalisha hadi dola milioni 10. #MillardAyoUPDATES

Mwimbaji Peter Msechu ametoa wimbo maalum wa kumuaga Rais mstaafu Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi uitwao ‘lala salama Ali Hassan Mwinyi’ Katika wimbo huo Msechu ameanza kwa kuutanguliza usemi maarufu wa Mzee Mwinyi aliowahi kunukuliwa akisema “maisha ya Mwanadamu ni hadithi tuu hapa ulimwenguni, basi eee Ndugu yangu kuwa hadithi nzuriii” Hayati Ali Hassan Mwinyi amefariki jana Hospitalini Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kansa ya mapafu ambapo amefariki miezi miwili kabla ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa ( May 8) ambapo angefikisha umri wa miaka 99. #MillardAyoUPDATES
#VIDEO Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilosa ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi (2015 - 2020), Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ameendelea na kampeni za kuwanadi Wagombea wa Chama hicho katika Jimbo la Mikumi. Profesa Jay leo November 21,2024 amefika Kijiji cha Kigunga Kata ya Zombo Prof. Jay anapokelewa na mamia ya Waenzi wa Chama hicho ambao pamoja na mambo mengine amewataka kuwachagua Viongozi wa CHADEMA ili waweze kuwaleta maendeleo. Profesa Jay amefanya mkutano katika kata za Mhenda na Zombo ikiwa leo ni siku ya pili ya kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu. #MillardAyoUPDATES
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Julius Kimario maarufu Babuu Mkazi wa Mtaa wa Mianzinii katika Kata ya Kiranyi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekutwa na chupa lita 70 za mkojo na ndoo za kinyesi sita huku akidai kwamba amezihifadhi kwenye chumba hicho anachoishi kwa miezi minne. Julius anayejishughulisha na kazi ya ufundi wa maturubai ambaye amezua taharuki katika eneo hilo amesema kuwa Watu wanashangaa lakini hajihusishi na imani za kishirikina “Hiyo haina shida yeyote sio imani za kishirikina wao ndio wanaoamini, nimejisaidia kwa kipindi cha miezi minne yale ni maji machafu yamechanganyika na kinyesi” Wananchi wa eneo hilo walifika katika chumba hicho na kukuta Kijana huyo akiwa analala chini huku vitu mbalimbali vikikutwa chumbani kama fedha za zamani, vitabu mafuta huku wakimtaka ahame eneo hilo. #MillardAyoUPDATES
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, amesema miili mitatu kati ya miili ya Watu 29 ambao wamefariki baada ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es salaam November 16,2024, bado haijatambuliwa lakini miili 26 imetambuliwa na tayari imechukuliwa na Ndugu zao kwa ajii ya maziko huku akisema leo zoezi la uokoaji limehitimishwa Kariakoo na biashara zitaruhusiwa kuendelea kama kawaida. Akiongea leo November 26,2024 akiwa Kariakoo, Makoba amesema “Mpaka sasa nadhani kwa taarifa niliyopata mchana huu tumebakiza miili mitatu ambayo haijatambuliwa mingine yote Ndugu zao wamewatambua na wameweza kwenda kuwazika kwenye Mikoa mbalimbali baada ya kukabidhiwa na Serikali” #MillardAyoUPDATES
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba amesema Wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo tayari wanajulikana na mmoja wao ameshakamatwa ambapo amewataka Wananchi wawe na amani na waiachie Serikali ifanye kazi yake bila kuvuruga uchunguzi na kuahidi kuwa uchunguzi ukikamilika taarifa itatolewa. Akiongea leo November 26,2024 akiwa Kariakoo Makoba amesema “Mwenye jengo hili hawezi kukosa kujulikana, tunamjua na mmoja wao ameshatiwa nguvuni (ameshakamatwa) kwa kwasababu ni suala la kiuchunguzi Polisi wakiwa tayari watatoa taarifa ili tusiharibu uchunguzi, na niwahakikishie tu Watanzania Serikali haiwezi kushindwa kwahiyo tuwe na amani na majibu yatapatikana” “Tume iliyoundwa, kamati ya uchunguzi imeshaanza kazi, hata kabla hamjaja hapa wengine walikuwa wanachukua sampuli ya baadhi ya vitu vilivyotumika katika ujenzi na wenyewe wakiwa tayari watatuambia tusiharibu uchunguzi” #MillardAyoUPDATES
Most engaged tweets of millardayo
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika bangi katika Wilaya ya Musanze, nchini Rwanda umefikia asilimia 70% hadi sasa huku mradi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi septemba mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa KKOG Rwanda, Rene Joseph ameliambia gazeti la New Times la Rwanda na kuongeza kuwa ujenzi huo umechelewa kutokana na changamoto ya miundombinu ya barabara. Machi 2024, Serikali ya Rwanda ilitoa leseni ya miaka 5 ya kulima bangi kwa madhumuni ya dawa, uchimbaji na usafirishaji wa bidhaa mbalimbali za dawa kwa kampuni ya King Kong Organics (KKOG-Rwanda) inayoshirikiana na Shirika la Marekani la KKOG GLOBAL ambalo dhamira yake ni kuwa kinara wa soko katika kilimo cha bangi ya matibabu katika Bara la Afrika. Bodi ya maendeleo nchini humo (RDB) imetenga eneo la hekta 35 katika Wilaya ya Musanze kwa Wawekezaji watano ambao wameonesha nia ya kuzalisha bangi ambapo pia Serikali ya Nchi hiyo pia imejitolea kutoa miundombinu kama vile barabara, umeme, uzio wa maeneo ya kilimo, kamera za uchunguzi ili kuzuia bangi kuingia mtaani kwa Wananchi. Katika mwaka wa fedha wa 2023/2024, Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB) ilitenga fransi za Rwanda (Rwf) milioni 700 (Tsh. bilioni 1,428,000,000) kwa mradi wa kilimo cha bangi ambapo kwa mwaka 2024/2025, bajeti iliongezwa hadi kufikia fransi za Rwanda (Rwf) bilioni 2 (Tsh. bilioni 4,080,000,000) ambapo hekta 1 ya bangi inatarajiwa kuzalisha hadi dola milioni 10. #MillardAyoUPDATES

Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Julius Kimario maarufu Babuu Mkazi wa Mtaa wa Mianzinii katika Kata ya Kiranyi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekutwa na chupa lita 70 za mkojo na ndoo za kinyesi sita huku akidai kwamba amezihifadhi kwenye chumba hicho anachoishi kwa miezi minne. Julius anayejishughulisha na kazi ya ufundi wa maturubai ambaye amezua taharuki katika eneo hilo amesema kuwa Watu wanashangaa lakini hajihusishi na imani za kishirikina “Hiyo haina shida yeyote sio imani za kishirikina wao ndio wanaoamini, nimejisaidia kwa kipindi cha miezi minne yale ni maji machafu yamechanganyika na kinyesi” Wananchi wa eneo hilo walifika katika chumba hicho na kukuta Kijana huyo akiwa analala chini huku vitu mbalimbali vikikutwa chumbani kama fedha za zamani, vitabu mafuta huku wakimtaka ahame eneo hilo. #MillardAyoUPDATES
Jeshi la Polisi limeripotiwa kuvamia msafara wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, akiwa njiani kuelekea Vwawa ,Wilaya ya Mbozi kwenye uzinduzi wa kampeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mchana wa leo November 22,2024. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Mwenyekiti Mbowe na Viongozi wengine wamepelekwa kituo cha polisi Vwawa “Kuna chanzo kimenijulisha kuwa ni maelekezo kutoka juu kukwamisha mkutano wa leo mchana Vwawa na wa jioni Tunduma, Polisi msikubali kuendelea kutumika, muachieni Mwenyekiti kwa haraka aendelee na mikutano ya leo” @AyoTV_ inaendelea na jitihada za kulipata Jeshi la Polisi ili kupata maelezo zaidi kutoka kwao kuhusu suala hilo. #MillardAyoUPDATES
Mwimbaji Peter Msechu ametoa wimbo maalum wa kumuaga Rais mstaafu Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi uitwao ‘lala salama Ali Hassan Mwinyi’ Katika wimbo huo Msechu ameanza kwa kuutanguliza usemi maarufu wa Mzee Mwinyi aliowahi kunukuliwa akisema “maisha ya Mwanadamu ni hadithi tuu hapa ulimwenguni, basi eee Ndugu yangu kuwa hadithi nzuriii” Hayati Ali Hassan Mwinyi amefariki jana Hospitalini Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kansa ya mapafu ambapo amefariki miezi miwili kabla ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa ( May 8) ambapo angefikisha umri wa miaka 99. #MillardAyoUPDATES
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba amesema Wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo tayari wanajulikana na mmoja wao ameshakamatwa ambapo amewataka Wananchi wawe na amani na waiachie Serikali ifanye kazi yake bila kuvuruga uchunguzi na kuahidi kuwa uchunguzi ukikamilika taarifa itatolewa. Akiongea leo November 26,2024 akiwa Kariakoo Makoba amesema “Mwenye jengo hili hawezi kukosa kujulikana, tunamjua na mmoja wao ameshatiwa nguvuni (ameshakamatwa) kwa kwasababu ni suala la kiuchunguzi Polisi wakiwa tayari watatoa taarifa ili tusiharibu uchunguzi, na niwahakikishie tu Watanzania Serikali haiwezi kushindwa kwahiyo tuwe na amani na majibu yatapatikana” “Tume iliyoundwa, kamati ya uchunguzi imeshaanza kazi, hata kabla hamjaja hapa wengine walikuwa wanachukua sampuli ya baadhi ya vitu vilivyotumika katika ujenzi na wenyewe wakiwa tayari watatuambia tusiharibu uchunguzi” #MillardAyoUPDATES
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa Wananchi. Hapi amesema hayo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba huku akisisitiza umuhimu wa siasa za hoja zenye tija kwa maendeleo ya Taifa na kusema kuwa malalamiko ya mara kwa mara hayaleti manufaa yoyote kwa Wananchi kwani Wananchi hawahitaji kusikia porojo wanataka maendeleo. #MillardAyoUPDATES
People with Influencer archetype
Official Twitter account of the Office of the President of Rwanda. Your unique opportunity to follow the work of President Paul Kagame on a daily basis.
アニメ「ソードアート ・オンライン」公式アカウントです。完全新作劇場版制作決定! 推奨ハッシュタグ #sao_anime
just a girl…🤍🕸️
HAPPY. Life is good. TMC Parliamentary Leader in Rajya Sabha linktr.ee/derekobrienmp
Team Lubrax Driver #19 @stock_car @lubrax @tokiomarineseguradora @betano @richard_mille @oakracingteam
Actress || Filmmaker || Philanthropist || Left Handed || Entrepreneur || Founder @rayofhopeN @deedeefilms 📧; bookrahamasadau@gmail.com
Explore Related Archetypes
If you enjoy the influencer profiles, you might also like these personality types: